Ibada Lyrics ibada_lyrics Baba Yetu Wa Mbinguni tunaleta sifa

Baba Yetu Wa Mbinguni tunaleta sifa

Lyrics Of The Song Baba Yetu Wa Mbinguni tunaleta sifa

Song ID 3833

baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako wewe hulinganishwi na yeyote duniani mbingu na nchi zakusifu jua na mwezi vyakutukuza wanyama wa pori ndege wa angani sifa tele kwako Bwana hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote hoiye usifiwe hoiye milele Bwana tukiomba kwako baba sikio lako li wazi kwetu macho yako yatuona sisi watoto wako ulimtoa Yesu mwana wako wa pekee alikufa msalabani sasa tuko huru hoiyee hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote hoiye usifiwe hoiye milele Bwana

Baba Yetu Wa Mbinguni tunaleta sifa.mp3

Baba Yetu Wa Mbinguni tunaleta sifa.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post