Ibada Lyrics ibada_lyrics kazi yangu ikiisha nami nikiokoka – Nitamjua

kazi yangu ikiisha nami nikiokoka – Nitamjua

Lyrics Of The Song kazi yangu ikiisha nami nikiokoka – Nitamjua

Song ID 3672

kazi yangu ikiisha nami nikiokoka na kuvaa kutokuharibika nitamjua mwokozi nifikapo ngamboni atakuwa wa kwanza kunilaki nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso nitamjua nitamjua kwa alama za misumari furaha nitapata nikiona makao Bwana aliyotuandalia nitamsifu mwokozi kwa rehema na pendo vilivyonipa pahali mbinguni nao waliokufa katika Bwana Yesu nitawaona tena huko juu lakini nifikapo kwake huko mbinguni nataka kumwona mwokozi kwanza milangoni mwa mji Bwana atanipitisha pasipo machozi wala huzuni nitauimba wimbo wa milele lakini nataka kumwona mwokozi kwanza i will know him

kazi yangu ikiisha nami nikiokoka – Nitamjua.mp3

kazi yangu ikiisha nami nikiokoka – Nitamjua.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post