Ibada Lyrics ibada_lyrics Bariki Kenya

Bariki Kenya

Lyrics Of The Song Bariki Kenya

Song ID 3726

mwenyezi Mungu napiga magoti nikiombea nchi yangu kenya amani upendo na umoja kenya yetu amani tele ufisadi ubinafsi ukabila adui zetu kenya wanatutesa vijana wetu umewamalika kweli shetani kaamulia kenya ni wengi wametuacha wengi wamelala salama wengi wanateseka ee Mungu ilinde kenya baba kuwa unatupenda unatujali tena unatuwaza hawa wachafu wanachafua kenya tumalizie daddy safisha kenya shetani hauna uwezo kazi yako kuchanganya watu kuharibu na kumaliza nakuamuru sasa uhame kenya na tena narudisha shukrani kwa viongozi baba uliotupa kwa kuwa mi tena ni wakuheshimu bariki kenya baba tufurahie roho wa Mungu bariki kenya daima kenya amani tele kupingana hatuna sote ni wakenya mliolala laleni salama mwenyezi Mungu bariki kenya ni wengi wametuacha wengi wamelala salama wengi wanateseka ee Mungu ilinde kenya na tena narudisha shukrani kwa viongozi baba uliotupa kwa kuwa mi tena ni wakuheshimu bariki kenya baba tufurahie roho wa Mungu bariki kenya amani tele sote ni wakenya laleni salama mwenyezi Mungu bariki kenya

Bariki Kenya.mp3

Bariki Kenya.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post