Ibada Lyrics ibada_lyrics Just A Way To Show How Much I Love You – Njia Ya Kusema

Just A Way To Show How Much I Love You – Njia Ya Kusema

Lyrics Of The Song Just A Way To Show How Much I Love You – Njia Ya Kusema

Song ID 804

from the first day i met you sijawahi lala njaa nyumba umeishughulikia from the first day i met you sijalala na kiu umekuwa maji ya uzima from the first day i met you sijapigwa na baridi blanketi umenipa from the first day i met you umenipenda na mambo yangu mengi ulinipenda kwanza kabla nikujue ulinipenda kwanza kabla nikupende nilipokujua hapo nikatambua milele nitakuinua pendo la kishua nami naamua nitakupenda pia it is just a way a way to show how much i love you ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyokupenda adui wewe umekuwa kizuizi maishani adui wewe wataka nikose mimi taji ya uzima adui wewe ulishindwa miaka iliyopita kalivari aliposema yamekwisha eloi eloi lamasabakitani mawe walitupa mate kukutemea mkuki ubavuni maji yakamwagika damu ilivuja ili nipate uzima

Just A Way To Show How Much I Love You – Njia Ya Kusema.mp3

Just A Way To Show How Much I Love You – Njia Ya Kusema.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post