Ibada Lyrics ibada_lyrics Mimi Nimekuchagua

Mimi Nimekuchagua

Lyrics Of The Song Mimi Nimekuchagua

Song ID 364

mimi nimekuchagua nime kuchagua wewe ili uwe mwenzangu wa maisha x2 katika raha na shida nakutegemea wewe x2 hata maisha yakiwa magumu niwe na wewe kwa uaminifu hata maisha yakiwa mazuri niwe na wewe kwa uaminifu tumuepuke adui shetani asije vunja hii ndoa yetu

Mimi Nimekuchagua.mp3

Mimi Nimekuchagua.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post