Ibada Lyrics ibada_lyrics Nafsi yangu yakutamani – kama ayala

Nafsi yangu yakutamani – kama ayala

Lyrics Of The Song Nafsi yangu yakutamani – kama ayala

Song ID 2321

nafsi yangu yakutamani roho yangu yaona kiu kama ayala atafutavyo maji ya mto baba nafsi yangu yakutamani nijaze na roho mtakatifu niweke karibu nawe nirejeshee furaha ya wokovu baba nafsi yangu yakutamani

Nafsi yangu yakutamani – kama ayala.mp3

Nafsi yangu yakutamani – kama ayala.video.mp4 YouTube

 

Hits: 55

Leave a Reply

Related Post