Ibada Lyrics ibada_lyrics Nafsi Yangu Yakungoja Bwana

Nafsi Yangu Yakungoja Bwana

Lyrics Of The Song Nafsi Yangu Yakungoja Bwana

Song ID 1281

nafsi yangu yakungoja Bwana kuliko walinzi wangojavyo asubuhi naam kuliko walinzi wangojavyo asubuhi nafsi yangu yakungoja wale wote wamngojao Bwana watafanywa upya nguvu zao maishani wamngojao Mungu wao watafanywa upya nguvu zao maishani wale wote ewe dada ukimngoja Bwana utafanywa upya nguvu zako maishani wale wote wangojao Bwana watafanywa upya nguvu zao maishani

Nafsi Yangu Yakungoja Bwana.mp3

Nafsi Yangu Yakungoja Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post