Ibada Lyrics ibada_lyrics Nitaingia Lango Lake

Nitaingia Lango Lake

Lyrics Of The Song Nitaingia Lango Lake

Song ID 2945

wakati nitajikuta mbinguni kwa baba nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha halleluya nitasifu kufika mbinguni hossana nitaingia kwa shangwe nitaingia lango lake na sifa moyoni nitaingia kwa shangwe kuu nitasema ni siku njema Bwana ameifanya nitafurahi kufika mbinguni nchi nzuri nchi safi kwa baba yangu kuna amani kuna furaha uko ni kusifu tutakaa na Mungu wetu nchi ya amani hossana nitaingia kwa shangwe nitawaona watakatifu manabii wote hata mitume nchi hiyo nitawaona tutakula meza moja nchi ya amani hossana nitaingia kwa shangwe

Nitaingia Lango Lake.mp3

Nitaingia Lango Lake.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Related Post