Ibada Lyrics ibada_lyrics Bwana ni Mchungaji Wangu

Bwana ni Mchungaji Wangu

Lyrics Of The Song Bwana ni Mchungaji Wangu

Song ID 3966

Bwana ni mchungaji wangu sitapungukiwa kitu hun laza penye majani mabichi hunongoza kwa maji matulivu hunihuisha nafsi yangu hun ongoza kwa njia za haki nipitapo mbondeni mwa mauti sitaogopa wewe u nami hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi nitakaa nyumbani mwa Bwana siku zote za maisha yangu gongo lako na fimbo yako vitanifariji mimi waandaa meza mbele yangu machoni pa watesi wangu

Bwana ni Mchungaji Wangu.mp3

Bwana ni Mchungaji Wangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post