Ibada Lyrics ibada_lyrics Pengine una watu

Pengine una watu

Lyrics Of The Song Pengine una watu

Song ID 3794

ili Mungu wa mbinguni akusamehae husijiwekelee vikwazo maisha ni mafupi Yesu yu karibu kuja uwasamehe wote waliokukosea ili uone mbingu ooh hatujui ya kesho ya kesho ni ya Mungu fungua moyo wako leo yule uliye mkopa hela kashindwa kurudisha sasa leo amekutusi na yeye umsamehe uwe safi mbele ya Mungu Yesu yu karibu kuja ni nisaidie nisaidie baba nisiwai lala njaa nisaidie baba nisipatwe na balaa hasara iwe mbali nami hata kwa biashara ninachouza wanunue nisibaki na bidhaa aah aaah aaah aaah

Pengine una watu.mp3

Pengine una watu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post