RAUKA

Lyrics Of The Song RAUKA

Song ID 2850

rauka inuka sahau yote yaliyopita tazama mambo mapya sahau yote yaliyopita kumekucha pambazuka leo walikubaandika mtu wa shida daktari alisema hakuna tiba ulianguka tena na tena kumbuka x3 alikuokoa hakukusahau ukapewa notisi hakuna kazi ma auctioneer waka vuruga mali ulianguka tena na tena alikuokoa hakukusahau twakushukuru baba twakuinua baba twakutukuza baba twakupokea mfalme wa wafalme

RAUKA.mp3

RAUKA.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post