Ibada Lyrics ibada_lyrics Siku kuu Siku-kuu Ya kuoshwa dhambi zangu kuu

Siku kuu Siku-kuu Ya kuoshwa dhambi zangu kuu

Lyrics Of The Song Siku kuu Siku-kuu Ya kuoshwa dhambi zangu kuu

Song ID 82

ni siku kuu siku ile ya kumkiri mwokozi moyo umejaa tele kunyamaza hauwezi siku kuu siku kuu ya kuoshwa dhambi zangu kuu hukesha na kuomba tu ananiongoza miguu suku kuu siku kuu ya kuoshwa dhambi zangu kuu tumekwisha kupatana mimi wake yeye wangu na sasa nitamwandama nikiri neno la Mungu moyo tulia kwa Bwana kiini cha raha yako huna njia mbili tena Yesu ndiye njia yako nadhiri yangu ya mbele nitaiweka daima hata ije siku ile ya kwonana kwa salama

Siku kuu Siku-kuu Ya kuoshwa dhambi zangu kuu.mp3

Siku kuu Siku-kuu Ya kuoshwa dhambi zangu kuu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post