Lyrics Of The Song Tuingie
Song ID 1610
tuingie wote na furaha nyumbani mwake Bwana tuingie x2 Bwana Mungu anatualika tuingie tumsifu tumsifu kwa shangwe na furaha x2 Bwana Mungu anatungojea tuingie wewe mama acha kazi yako tuingie nawe baba acha kazi yako tuingie nanyi vijana jitayarisheni tuingie
Hits: 3