Lyrics Of The Song Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi
Song ID 2875
tunaomba uwepo wako uende nasi ewe Bwana wa majeshi utusikie kama huendi nasi hatutaki kutoka hapa hatuwezi pekee yetu enda nasi tu watu wa shingo ngumu tusamehe hatufai mbele zako turehemu tusafishe ee baba tuonyeshe uso wako twahitaji neema yako enda nasi tutavua mapambo yetu na vitu vyote vya thamani kwetu mioyo yetu twaleta mbele zako tutakase na utembee nasi tunaomba utuonyeshe njia zako kwa maana umetuita kwa jina twalilia ee Bwana utukufu na uso wako bila wewe tutashindwa enda nasi
Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi.mp3
Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi.video.mp4 YouTube
Hits: 7