Matokeo

Lyrics Of The Song Matokeo

Song ID 1331

sasa nangoja matokeo sasa nangoja matokeo kutoka kawako jalali mimi nimefanya mitihani mingi sana ah nimepitia madarasa mengi sana ah kwa kila darasa yahweh umekuwa mwalimu wangu umenifuna kuomba umenifunza subira umenifunza kungoja baba nimekuwa mwanafunzi mwema kwako baba sasa nangoja matokeo kutoka kawako jalali sasa nangoja matokeo kutoka kawako jalali sasa nangoja matokeo kutoka kawako jalali sasa nangoja matokeo kutoka kawako jalali usiku mrefu mbona hakupambazuki nimejaribu sana kukupendeza maishani mwangu nimefanya kazi yako hiyo umeona Yesu nimetoa fungu la kumi hiyo umeona baba nangojea nangojea matokeo yangu ulisema nikitoa nitabarikiwa asubuhi ikifika ije na kicheko asubuhi ikifika ije na amani asubuhi ikifika ije na furaha asubuhi yangu ikifika ije na jibu langu

Matokeo.mp3

Matokeo.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post