Ibada Lyrics ibada_lyrics Nisizame Yesu uniokoe

Nisizame Yesu uniokoe

Lyrics Of The Song Nisizame Yesu uniokoe

Song ID 2046

nisizame Yesu uniokoe nisizame Yesu uniokoe nisizame uniokoe nisizame uniokoe nisizame Yesu uniokoe nisizame Yesu uniokoe nisizame uniokoe nisizame uniokoe magonjwa yananiandama hospitali zote nimemaliza kupona sijapona magonjwa yananiandama madaktari wote nimemaliza kupona sijapona njoo haraka unisaidie nisizame uje hima unikoe nisizame naona huduma imekuwa nzito naona huduma hii baba yangu kama ni mzigo naona huduma imekuwa nzito umekuwa kama mwiba lakini nakuita unisaidie nisizame nisizame baba nisizame elimu nimemaliza kazi nimetafuta nimekosa mwenye nymba naye amekukuja akidai kodi ya nyumba hata shilingi mimi sina nimejaribu kuomba kwa majirani ndugu zangu wote hakuna msaada marafiki zangu hakuna msaada ni wewe tu msaada wangu nisizame hili ni ombi langu nisizame

Nisizame Yesu uniokoe.mp3

Nisizame Yesu uniokoe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post