Subira

Lyrics Of The Song Subira

Song ID 1401

mmh punde tu shule alipomaliza aliaidiwa atapata ajira alishamaliza na sasa mika imepita haoni kama ndoto yake itakamilika mm shiro naye anatamani ndoa wenzake wote washaolewa anaona miaka inazidi songa anashindwa yuko wapimchumba analia tu we oiyoyoyo kilio tu we oiyoyoyo baba tupe na subira sisi wana wako twakulilia baba tupe na subira ahadi zako ni kweli na amina tusavau tu we obugu migiriza x4 wengine kwa kukosa subira wanatumia dawa za kulevya wengine kwa kukosa subira wanawatembelea waganga ai wengine kwa kukosa subira wanaishia magerezani wengine kwa kukosa subira aa wajitoa uhai ii

Subira.mp3

Subira.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post