Ibada Lyrics ibada_lyrics Uniongoze – Baraka zako ziwe na mimi Bila nguvu zako

Uniongoze – Baraka zako ziwe na mimi Bila nguvu zako

Lyrics Of The Song Uniongoze – Baraka zako ziwe na mimi Bila nguvu zako

Song ID 2168

uniongoze na huruma zako usipo nibariki siwezi enda minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda minajuwa bila nguvu zako siwezi kwenda kwa mkono wako kweli umenibariki ii kwa mkono wako kweli umenibariki minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda kwa mkono wako kweli umenibariki ii kwa mkkono wako kweli umenibariki baraka zako ziwe na mimi mapenzi yako yawe na mimi namacho yako yawe na mimi kwa mkono wako kweli umenibariki kwa mkono wako kweli umenibariki ulinichagua kabla sijazaliwa ukanichagua nabii wa mataifa yo utaninitangulia siatogopa chochote tembea nami ee Bwana tembea nami baba yoo

Uniongoze – Baraka zako ziwe na mimi Bila nguvu zako.mp3

Uniongoze – Baraka zako ziwe na mimi Bila nguvu zako.video.mp4 YouTube

 

Hits: 39

Leave a Reply

Related Post